Sign guestbook  

10. james - 2007-07-23 09:13:46
nakusalimu kwa jina la bwana wetu Yesu kristo!
nakutakia mafanikio katika kusukuma "magurudumu" "gurudumu" (ya)la maendeleo najua ugumu wake hasa inapokuwa magurudumu haya tunayapandisha mlimani,na hayana upepo!hongera kwa kazi!

9. Gerard Julius H. L. M. Chami - 2007-06-08 06:12:01
Nipo kama sipo. Big up sana Mtanzania mwenzangu. Ni vema kuikubali kazi ya mtu hasa mzalendo kama kweli inakubalika na kuonekana popote duniani. Niko pamoja na wanablogu wote nami niko mbioni kuwaunga mkono kwa kuanzisha yangu pia. Msaada wenu nyote ni wa manufaa na busara kwangu. Msiniangusha wakati wowote nihitajipo. "All the best of Lucky guys"

8. - 2007-05-15 14:56:27
Nawaaminia wabongo cku izi mko juu kama matawi ya mnazi

7. geofrey kulanga - 2007-03-26 15:46:24
safi sana mzee nimependa mawazo yako,nitakutumia kwenye citation zangu

6. Ansbert Ngurumo - 2007-02-04 22:51:02
Namwi namwaga wino!

5. msangimdogo - 2006-12-12 09:20:45
Mzee majumbani mwetu kama kuna matatizo ina maana tukiwa hapa tutajisikia kama tuko matatizoni pia, ndio! si umesema tujisikie kama tuko kwetu!! Alaa kumbe ulisema nyumbani, poa nimepita kupata kikombe cha maji naendelea na safari zangu tutawasiliana siku zijazo

4. Njogopa George - 2006-09-10 15:20:39
Wote nyinyi ni wazugaji tu hapa Bongo, hamna mipango,angalieni umsije geuzwa kikaango, maana hii ndiyo bongo, watu twanywa chai kwa tango.Upo ???

Ahasanteni sana, lakini msalime sana yule binti yako.
Amen.

3. njili - 2006-07-16 12:02:43
Kazi njema Mtanzania mwenzangu.Napenda sema nimerudi tena kuwa nanyi wenzangu kwenye ulimwengu wetu tata.
Afya njema

2. Jeff Msangi - 2006-05-30 15:53:26
Sio vizuri kuingia nyumba za watu bila hodi.Natia sahihi hapa kama kusema hodi.

1. Reginald Simon - 2006-05-29 12:11:29
KARIBUNI WOTE. UKIWA HAPA JISIKIE KAMA UKO NYUMBANI-rsm-

    Sign guestbook   < Page 2 |

Webmasters, Click here to get a free guestbook!    

Remove all the advertisements
from this guestbook!

- LIMITED OFFER -




  Please report if this guestbook contains illegal or offensive content.