|
20. Reginald Miruko - 2008-06-04 07:25:42 |
| Nawashukuru wageni wangu wote wanaoendelea kunitembelea, wakati mimi nikiwa katika fungate. Pia nawashukuru kwa kunitakia heri katika maisha yetu ya ndoa, mimi na mke wangu Winifrida |
" target=_blank> 19. alexander lweikila - 2008-05-24 08:23:11 |
hongera sana kwa kufunga ndoa  |
|
18. Moses Mabamba - 2008-05-21 05:45:04 |
| Mambo niaje? Kwanza hongera kwa ndoa na pia nakutakia maisha yenye furaha na mkeo.Now let me go through ma-Vitu ndani ya blog |
|
17. lisa - 2008-04-22 06:02:46 |
Mambo, big up sana, salam kwa marco raphael. Imetulia kimtindo
lete mautamutamu  |
|
16. revocatus - 2008-02-12 09:08:59 |
| VIPI MZEE UNANIKUMBUKA TULIKUWA WOTE MONDULI KWA WAKATI HUU BADO NIKO OSLO NORWAY,HONGERA NASIKIA UMEPATA JIKO MPE MAMA NYEGELA EMPANGO |
" target=_blank> 15. kisili - 2007-12-21 10:10:42 |
| Lengo langu kubwa hapa duniani ni kuona haki za binadamu zinathaminiwa. Na kwa sasa napambana na kwa ajili ya haki za watu waishio na virusi vya ukimwi. |
|
14. mwemezi - 2007-12-18 08:58:17 |
| salama kaka,utaratibu ni kwamba kabla yakuingia una sign kitabu then michakato inaendelea...sasa wacha nikaperuzi ndani ya blogu yako... |
" target=_blank> 13. EVARIST CHAHALI - 2007-12-06 10:37:04 |
| Salam Mr Miruko,blogu yako ni maridhawa sana.Naomba kukiri kuwa nilikuwa sijaitembelea kitambo kidogo,na kwa hakika nimepitwa na mengi.Sintarejea uzembe huo.....Nakutakia kazi njema |
|
12. Danny Mwakiteleko - 2007-12-01 11:27:50 |
| na mimi nimeamua kuongeza idadi ya watu wanaodurusu blog hii. Hongera kaka, ongeza madudu yawe mengi zaidi. Hata habari za Kimara Baruti kwenye kiti moto zitapa wasomaji wake. Kila la kheri |
|
11. SHIKAMKONO - 2007-08-11 15:08:19 |
| TUKO PAMOJA |
|
|