|
30. veronica simba - 2010-09-01 12:40:53 |
| Habari ya siku tele kakaangu? Hongera sana kwa ndoa, japo naamini ishakuwa long. Msalimie MAMA FAU. |
|
28. Miraa S Losurutia - 2010-02-10 10:13:15 |
Hey what’s up majita wote mliomaliza IMBORU SEC 2009
akiwepo TITO,CHAO,ROBERT,N’GONGO,MSULI pig up Wapiga PULI wote |
|
27. Haitami A - 2009-08-10 17:57:57 |
Hy mabo vipi watanzania, Waafria wenzangu. Poleni na majukumu ya kila siku natumaini wote mnahali njema na mungu awajali9e afya njema tuendelee kuwasiliana. |
|
26. AMANI MPINDI - 2009-01-12 10:27:09 |
Mambo vipi kaka,naikubali blog yako,ila jitahidi kuweka mambo mapya mara kwa mara. kazi njema.  |
|
25. katikomile ikamaza - 2008-11-25 08:01:35 |
| nawatakieni wote kazi njema katika ujenzi wa taifa |
|
24. iren rasta - 2008-11-24 12:23:49 |
nakupongeza sana kwa kunichekesha kwani mimi ni mgumu kucheka ila ninapenda sana kutombana  |
|
23. ADELLA KAINAMULA - 2008-09-27 17:17:29 |
| HALLOW BABA FAU, HONGERA SANA KWA KUPATA JIKO. WISH U ALL THE BEST!!!!! |
|
22. noor shija - 2008-09-23 11:53:41 |
pasua kichwa vipi hujambo, msalimie shemeji, mwambie nitakuja kula lunch. |
|
21. Jeff Jafari Said Magwisha - 2008-09-18 09:28:06 |
| Mi nakutakia kila la kheri katika ndoa yako. Then naomba ushauri wako kuhusu mambo ya ndoa kwani nami nategemea kuoa siku za usoni |
|
|