Sign guestbook  

40. Louie Kifanga - 2009-10-29 21:30:25
Sophy!
Kazi nzuri sana malkia wa bambataa. kikubwa nachoweza kukushauri anza kufikiria namna ya kubadili muonekano wa blog yako ikae kibmbataaa bambataaa zaidi vile ulivyo wewe na kipindi chako. kadhalika ongeza tuvitu tupya. Nimefurahi sana kumuona dekula kupitia blog hii. Chunza utabhainiiii

39. shost - 2009-09-29 17:47:38
jamani hii blog ni mbaya sana ....kuwa mbunifuuuuuuuu

" target=_blank>38. MALKIA SOPHIA - 2009-09-24 09:58:52
samahani anuani ya barua pepe ni pamoja daima wadau nawapenda sana

" target=_blank>37. MALKIA SOPHIA - 2009-09-24 09:56:49
HABARINI WADAU NAWASHUKURU SANA TENA SANA KWA MAONI USHAURI PAMOJA NA UKWELI AMBAO MMEKUWA MKINIPA NAOMBA TEANA NA TENA TUENDELEE KUSHIRIKIANA NA KUPEANA SUPORT SIKUZOTE, KWA MAONI NA USHAURI LAKINI PIA KAMA UNA LOLOTE WATAKA KUSHEA NA SISI NI RUKSA KABISA NIANDIKIE KWA BARUA PEPE YA

WASALAAM.

36. 4one - 2009-09-17 07:18:42
Pongezi za dhati kwako Mdada wa watu. Kaza boot.

" target=_blank>35. BC - 2009-07-28 19:20:15
Kazi nzuri kabisa.Naipenda tovuti hii na nitaendelea kuwa mtembeleaji na mchangiaji.Kila la kheri

34. mankya nkya - 2009-07-23 09:28:26
mpo juuu washikaji

33. Malcolm - 2009-07-14 06:22:31
Nimekukubali msister hupo juu!!!!!!!
keep it up!

32. Deborah Lyimo - 2009-06-11 06:00:02
Hongera sana dada

" target=_blank>31. haji kaka - 2009-06-10 12:37:20
mambo vi wadau wote kipindi hicho mpo juu

    Sign guestbook   Page 3 >

Webmasters, Click here to get a free guestbook!    

Remove all the advertisements
from this guestbook!

- LIMITED OFFER -




  Please report if this guestbook contains illegal or offensive content.