20. Msangi - 2009-03-02 14:31:03 |
@ Mimi
Ni kweli tabia uliyoisema ya watu kutumia picha za wenzao kuziweka katika mitandao ya ngoni inakera sana. Kama unaweza kutusaidia kutupa mfano wa mmoja wao, basi itatupa sisi nafasi ya kuwadhibiti watu wenye tabia ya namna hiyo. Nimecheki kama kuna email address yako hapo nikuandikie binafsi lakini sijaiona ndio maana nimeona niwasiliane nawe kwa njia hii. Shirikiana nasi kukomesha tabia hii ambayo nawe inakukera  |
|
19. mimi - 2009-02-10 08:19:51 |
sijapendezwa na baadhimya watu,wenye tabia mbaya,nyie mnaweka picha zenu humu wengine wanaziiba na kuziweka mtandao wa ngono ze utamu bila sababu ya msingi,SIJAPENDEZWA NA HIYO TABIA WE NEED TO CHANGE.  |
|
18. The Master ’E’ - 2009-02-08 19:35:44 |
Madame Sophie, est que cava? Moi cava tres bien.
Kiukweli ni kwamba wale wana harakati wa kuukuza muziki halisi wa kiafrika mimi nakwambia "ndenge ezalii".
Sasa sophie unaonaje kama kupitia ktk hii blog yako pia ukawapa wapenzi wako wa blog hii nafasi ya kufahamu baahi ya historia ya makundi mbali mbali kutoka kule nchini Congo, kama vile; Wenge Musica bcbg, Wenge Tonya Tonya, Wenge Maison Mere, Wenge Kumbela, Extra Musica, Empire Bakuba, Pamoja na Makundi mengine mengi kutoka kule Congo.
Kama upo tayari basi tuwasiliane zaidi ili tuweze kuiboresha zaidi. Na hata kama kuna m2 angependa pia kufahamu mambo hayo basi tuwasiliane kupitia E-MAIL;. Nawapenda na pia nawashauri 2mpe sapoti Sophie. ’Tokomona lobii’. |
17. David Douglas - 2009-02-03 12:41:49 |
Yeah mambo kweli ni Bambataa humu ndani, keep up the good work Sophie.
And stay blessed.  |
|
16. Rhoda - 2009-02-02 16:02:59 |
helloo mama ya brown, mama ya Africa, mama ya Mitwango , mama ya Burudani, mama ya blog ., big up kazi yako ime2lia
RHODA SAUT MWANZA  |
|
15. Simon - 2009-02-02 11:17:48 |
Hi Sophie
I’v been looking for this blog for ages and now i’v e found how professional you are and how you educate and intertaing the world.
Big up sana and you’ll get my full support anytime...
Imetulia kwa sana na inakimbiza hadi ughaibuni
 |
|
14. Deepak Sinha - 2009-01-29 15:11:54 |
Dear sophie
Your Blog is a very nice web site showcasing African Music. Keep up the good work.
Regards
Deepak |
13. Deplaizir - 2009-01-27 16:03:22 |
Hey Sophia,
I see you are progessing very well... COngratulations on this blog update... it looks slick and rocks the party.... Ansati sana for all the hard work you continue to do for us African Musicians.... incha Allah, all will go ok and we will all be happy very soon......
Much love and appreciation
Say Hi to all my fans pale TZ....
Deplaizir  |
12. Robert - 2009-01-27 11:52:01 |
haya dada nimekuja nasubiri ukarimu wako
Good books, like good friends, are few and chosen; the more select, the more enjoyable. |
|
11. shadee - 2009-01-27 09:30:17 |
| mama la rain ukoo juu kwenye bambata...ur show rocks me alot na nt only me but everybody talks bout it....let me advice u,dn listen 2 haters..we fanya vitu vyako utoe gazeti yako.ol da best! |
|
|