Sign guestbook  

27. Haitami A - 2009-08-10 17:57:57
Hy mabo vipi watanzania, Waafria wenzangu. Poleni na majukumu ya kila siku natumaini wote mnahali njema na mungu awajali9e afya njema tuendelee kuwasiliana.

26. AMANI MPINDI - 2009-01-12 10:27:09
Mambo vipi kaka,naikubali blog yako,ila jitahidi kuweka mambo mapya mara kwa mara. kazi njema.

25. katikomile ikamaza - 2008-11-25 08:01:35
nawatakieni wote kazi njema katika ujenzi wa taifa

24. iren rasta - 2008-11-24 12:23:49
nakupongeza sana kwa kunichekesha kwani mimi ni mgumu kucheka ila ninapenda sana kutombana

23. ADELLA KAINAMULA - 2008-09-27 17:17:29
HALLOW BABA FAU, HONGERA SANA KWA KUPATA JIKO. WISH U ALL THE BEST!!!!!

22. noor shija - 2008-09-23 11:53:41

pasua kichwa vipi hujambo, msalimie shemeji, mwambie nitakuja kula lunch.

21. Jeff Jafari Said Magwisha - 2008-09-18 09:28:06
Mi nakutakia kila la kheri katika ndoa yako. Then naomba ushauri wako kuhusu mambo ya ndoa kwani nami nategemea kuoa siku za usoni

20. Reginald Miruko - 2008-06-04 07:25:42
Nawashukuru wageni wangu wote wanaoendelea kunitembelea, wakati mimi nikiwa katika fungate. Pia nawashukuru kwa kunitakia heri katika maisha yetu ya ndoa, mimi na mke wangu Winifrida

" target=_blank>19. alexander lweikila - 2008-05-24 08:23:11
hongera sana kwa kufunga ndoa

18. Moses Mabamba - 2008-05-21 05:45:04
Mambo niaje? Kwanza hongera kwa ndoa na pia nakutakia maisha yenye furaha na mkeo.Now let me go through ma-Vitu ndani ya blog

    Sign guestbook   Page 2 >

Webmasters, Click here to get a free guestbook!    

Remove all the advertisements
from this guestbook!

- LIMITED OFFER -




  Please report if this guestbook contains illegal or offensive content.